KUHUSU DAWASCO

Dira & Lengo

    UTANGULIZI
    Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam DAWASCO ndio lenye jukumu kuu la utoaji
    wa huduma ya Majisafi na uondoshaji wa Majitaka katika jiji la Dar es Salaam, Kibaha na Bagamoyo
    Mkoani Pwani.

    LENGO LETU
    Kutoa huduma nzuri na ya gharama nafuu ya Majisafi na uondoshaji wa Majitaka yenye kukidhi
    matarajio ya wateja kwa kutumia watumishi wenye ari ya hali ya juu.

    DIRA YETU
    Kuwa moja ya watoa huduma bora ya majisafi na majitaka ulimwenguni.

    KAULI MBIU YETU
    Mteja wetu, ajira yetu.

Bodi ya Wakurugenzi ya DAWASCO

Menejimenti ya DAWASCO

Karibu katika Tovuti mpya ya DAWASCO >>> Lipa ankara yako sasa kupitia Tigopesa, Mpesa, EasyPesa,Air
ARROW ARROW ARROW ARROW ARROW
Innovations > Projects > Services > Brochures > Programs >
           ARROW MGAO WA MAJI            ARROW DOKEZO NA USHAURI            ARROW ENEO LA HUDUMA            ARROW MALALAMIKO
           ARROW DIRA ZA MAJI            ARROW HUDUMA YA MAJI            ARROW MATANGAZO            ARROW MASWALI
           ARROW USOMAJI DIRA            ARROW HUDUMA YA MAJITAKA            ARROW KALENDA            ARROW TOVUTI
           ARROW MAOMBI MAPYA            ARROW MKATABA WA HUDUMA            ARROW VIPEPERUSHI            ARROW MAWASILIANO
For enquiries , complaints and emergencies please call 0800110064 (toll free) DAWASCO Call Center unit.