Jinsi ya kulipia kwa ACB - Mobile

    1. Piga *150*10 # 

    2. Bonyeza OK au alama ya kupokelea simu 

    3. Ingiza namba yako ya siri 

    4. Chagua jibu 

    5. Chagua akaunti utakayotumia 

    6. Ingiza namba 2 kwa malipo ya ankara ya DAWASCO 

    7. Ingiza akaunti namba ya DAWASCO 

    8. Ingiza kiasi cha kulipa 

    9. Thibitisha kwa kubofya 1 au 2 kukanusha 

    10.Chagua tuma.
   
 
Karibu katika Tovuti mpya ya DAWASCO >>> Lipa ankara yako sasa kupitia Tigopesa, Mpesa, EasyPesa,Air
ARROW ARROW ARROW ARROW ARROW
Innovations > Projects > Services > Brochures > Programs >
           ARROW MGAO WA MAJI            ARROW DOKEZO NA USHAURI            ARROW ENEO LA HUDUMA            ARROW MALALAMIKO
           ARROW DIRA ZA MAJI            ARROW HUDUMA YA MAJI            ARROW MATANGAZO            ARROW MASWALI
           ARROW USOMAJI DIRA            ARROW HUDUMA YA MAJITAKA            ARROW KALENDA            ARROW TOVUTI
           ARROW MAOMBI MAPYA            ARROW MKATABA WA HUDUMA            ARROW VIPEPERUSHI            ARROW MAWASILIANO
For enquiries , complaints and emergencies please call 0800110064 (toll free) DAWASCO Call Center unit.