Jinsi ya kulipia kwa AirtelMoney


    1. Piga *159*60#

    2. Chagua namba 5. LIPIA BILI halafu bonyeza SEND

    3. Chagua namba 2. CHAGUA KWENYE ORODHA halafu bonyeza SEND

    4. Chagua namba 6. BILI ZA MAJI halafu bonyeza SEND

    5. Chagua namba 1. DAWASCO halafu bonyeza SEND

    6. Ingiza Kiasi cha Fedha unachotaka kulipia halafu bonyeza SEND

    7. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba yako ya akaunti) halafu bonyeza SEND

    8. Ingiza namba yako ya siri

    9. Bonyeza SEND

    Angalia picha na maelekezo zaidi CLICK HAPA
Karibu katika Tovuti mpya ya DAWASCO >>> Lipa ankara yako sasa kupitia Tigopesa, Mpesa, EasyPesa,Air
ARROW ARROW ARROW ARROW ARROW
Innovations > Projects > Services > Brochures > Programs >
           ARROW MGAO WA MAJI            ARROW DOKEZO NA USHAURI            ARROW ENEO LA HUDUMA            ARROW MALALAMIKO
           ARROW DIRA ZA MAJI            ARROW HUDUMA YA MAJI            ARROW MATANGAZO            ARROW MASWALI
           ARROW USOMAJI DIRA            ARROW HUDUMA YA MAJITAKA            ARROW KALENDA            ARROW TOVUTI
           ARROW MAOMBI MAPYA            ARROW MKATABA WA HUDUMA            ARROW VIPEPERUSHI            ARROW MAWASILIANO
For enquiries , complaints and emergencies please call 0800110064 (toll free) DAWASCO Call Center unit.