Maswali yaulizwayo mara kwa mara

2. Kuna aina ngapi za ulipaji ankara ya maji anazoweza kutumia mteja wa dawasco?


Kuna aina tano za ulipaji wa Ankara ambazo ni; Mosi, kwa kutumia ofisi za DAWASCO; Pili, njia ya simu (M-PESA, Airtelmoney, TIGO-PESA na NMB-Mobile kwa wateja wenye akaunti na Benki hiyo.; Tatu, kulipia benki (CRDB, Standard Chartered, NMB, BOA, Barclays na Benki ya Posta; Nne, kadi za kukwaruza za DAWASCO naTano, kupitia SELCOM.Karibu katika Tovuti mpya ya DAWASCO >>> Lipa ankara yako sasa kupitia Tigopesa, Mpesa, EasyPesa,Air
ARROW ARROW ARROW ARROW ARROW
Innovations > Projects > Services > Brochures > Programs >
           ARROW MGAO WA MAJI            ARROW DOKEZO NA USHAURI            ARROW ENEO LA HUDUMA            ARROW MALALAMIKO
           ARROW DIRA ZA MAJI            ARROW HUDUMA YA MAJI            ARROW MATANGAZO            ARROW MASWALI
           ARROW USOMAJI DIRA            ARROW HUDUMA YA MAJITAKA            ARROW KALENDA            ARROW TOVUTI
           ARROW MAOMBI MAPYA            ARROW MKATABA WA HUDUMA            ARROW VIPEPERUSHI            ARROW MAWASILIANO
For enquiries , complaints and emergencies please call 0800110064 (toll free) DAWASCO Call Center unit.