Jinsi ya kulipia kwa MAX - MALIPO

                     MALIPO KWA NJIA YA MAX-MALIPO

    1. Fika katika wakala wowote wa MAX-MALIPO na akaunti namba yako ya
DAWASCO. 

    2. Mkabidhi wakala akaunti namba yako na kiasi cha pesa unachotaka kulipia 

    3. Akisha fanya malipo dai risiti na hakikisha malipo yaliyofanyika ni halisi. 

    4. Tunza Risiti yako.
 
Karibu katika Tovuti mpya ya DAWASCO >>> Lipa ankara yako sasa kupitia Tigopesa, Mpesa, EasyPesa,Air
ARROW ARROW ARROW ARROW ARROW
Innovations > Projects > Services > Brochures > Programs >
           ARROW MGAO WA MAJI            ARROW DOKEZO NA USHAURI            ARROW ENEO LA HUDUMA            ARROW MALALAMIKO
           ARROW DIRA ZA MAJI            ARROW HUDUMA YA MAJI            ARROW MATANGAZO            ARROW MASWALI
           ARROW USOMAJI DIRA            ARROW HUDUMA YA MAJITAKA            ARROW KALENDA            ARROW TOVUTI
           ARROW MAOMBI MAPYA            ARROW MKATABA WA HUDUMA            ARROW VIPEPERUSHI            ARROW MAWASILIANO
 Terms of Use |  Freedom of Information |  About the site