Jinsi ya kulipia kwa SIMBANKING

Mteja mwenye akaunti katika Benki ya Posta anaweza kufanya malipo ya ankara kwa kufuata taratibu zifuatazo; 

     1. Piga * 150*03# 

     2. Ingiza namba yako ya siri ya SIMBANKING. 

     3. Chagua (5) kwa malipo ya bili. 

     4. Chagua (2) malipo ya ankara ya DAWASCO. 

     5. Ingiza akaunti namba yako ya DAWASCO. 

     6. Chagua (1) kujua salio. 

     7. Chagua (2) kufanya malipo ya ankara ya DAWASCO

 
   
 
Karibu katika Tovuti mpya ya DAWASCO >>> Lipa ankara yako sasa kupitia Tigopesa, Mpesa, EasyPesa,Air
ARROW ARROW ARROW ARROW ARROW
Innovations > Projects > Services > Brochures > Programs >
           ARROW MGAO WA MAJI            ARROW DOKEZO NA USHAURI            ARROW ENEO LA HUDUMA            ARROW MALALAMIKO
           ARROW DIRA ZA MAJI            ARROW HUDUMA YA MAJI            ARROW MATANGAZO            ARROW MASWALI
           ARROW USOMAJI DIRA            ARROW HUDUMA YA MAJITAKA            ARROW KALENDA            ARROW TOVUTI
           ARROW MAOMBI MAPYA            ARROW MKATABA WA HUDUMA            ARROW VIPEPERUSHI            ARROW MAWASILIANO
For enquiries , complaints and emergencies please call 0800110064 (toll free) DAWASCO Call Center unit.